Sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Sababu za kutokea maumivu ya jino:
1.Kuwa na majeraha kwenye jino ama kuzungukia jino. Majeraha ni kawaida sana kusababisha kubenduka na kukatika kwa meno.
2.Maambukizi na mashambulizi ya jino yaliyosababishwa na wadudu.
3.Kusaga ma kugonga meno hasa wakati wa usiku unapolala
4.Kuwa na magonjwa kwenye ufinzi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Matatizo ya homoni (Hormonal Imbalance): Jinsi ya kuyatambua.
Homoni ni wajumbe wa kemikali mwilini wanaosimamia michakato mingi muhimu, kuanzia kimetaboliki, mzunguko wa hedhi, hadi hali ya hisia (mood). Mabadiliko kidogo tu katika uwiano wa homoni hizi yanaweza kusababisha madhara makubwa mwilini. Makala hii inaelezea kwa kina jinsi ya kutambua ishara za matatizo ya homoni na hatua za kuchukua ili kurejesha afya yako.
Soma Zaidi...Maumivu wakati wa hedhi
​Maumivu wakati wa hedhi, kitaalamu yakijulikana kama Dysmenorrhea, ni changamoto inayowaathiri mamilioni ya wanawake duniani kote. Wakati maumivu mepesi yakichukuliwa kama hali ya kawaida ya mabadiliko ya mwili, maumivu makali yanayomzuia mwanamke kufanya shughuli zake za kila siku yanaweza kuwa ishara ya matatizo makubwa ya kiafya. Makala haya yanajadili aina za maumivu haya, vyanzo vyake vikuu, njia za nyumbani na za kitabibu za kupata suluhisho, pamoja na ukweli wa kisayansi dhidi ya dhana potofu.
Soma Zaidi...Uzito kupita kiasi (Obesity): Hatari zake kiafya.
Uzito kupita kiasi, au unene uliokithiri (obesity), si suala la mwonekano wa nje pekee, bali ni changamoto kubwa ya kiafya inayoongeza hatari ya kupata magonjwa sugu ambayo yanaweza kupunguza umri wa kuishi. Hali hii hutokea wakati kiasi cha mafuta mwilini kinapozidi kiwango cha kawaida na kuanza kuathiri utendaji kazi wa viungo muhimu. Makala haya yanaelezea hatari za kiafya zinazohusiana na uzito kupita kiasi na umuhimu wa kuchukua hatua za haraka ili kulinda afya yako.
Soma Zaidi...Je, ni rahisi kuambukizwa ugonjwa wa nimonia?
Nimonia ni uvimbe wa mapafu unaosababishwa na maambukizi ya vimelea kama bakteria, virusi, au fangasi. Sio kila kesi ya Nimonia inaambukiza kwa njia sawa; inategemea na kimelea kinachosababisha. Makala hii inachambua njia kuu za maambukizi ya Nimonia, mambo yanayopunguza kinga ya mwili, na jinsi jamii inavyoweza kuchukua hatua kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Sababu za mdomo kuwa mchungu
Hapa utajifunza sababu zinzopelekea mdomo kubadilika ladha na kuwa mchungu, ama mchachu.
Soma Zaidi...Dalili za selulitis.
Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto
Soma Zaidi...