Tafsiri ya quran kw akiswahili, imeandikw ana Shekh Ali Muhsin al-Barwani
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili |
Qur'ani Tukufu |
Translation of the Holy Qur'an to Swahili Language |
BySheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Dibaji ya Mutarjimu - Neno kutoka Azhar - Utangulizi wa Al-Muntakhab - Faharasa |
Katika jedwali lifuatalo bonyeza namba kabla ya jina la sura kuifungua sura pamoja na hati za kiarabu au namba baada ya jina kuifungua sura bila hati za kiarabu
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowASBAB NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN Quran imeteremka kwa muda wa miaka 23 kidogokido.
Soma Zaidi...Sura za Makka na Madina Kutokana na historia ya kushuka kwake sura za Qur-an zimegawanywa katika makundi mawili - sura za Makka na sura za Madina.
Soma Zaidi...Sura hii ni katika sura za kitawhidi sana. Maulamaa wanasema inatosha sura hii kuwa ni mawaidha. Imamu sharifu anasema kuwa sura hii inatosha kuwa muongozo…
Soma Zaidi...Sura mbili hizi pia hujulikana kwa jina la al muawidhatain ambazo ni surat an Nas na surat al falaq.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
Soma Zaidi...Qurayh ni jina la kabila la Mtume Muhammad S.A.W. Sura hii itakwenda kukujulisha neema ambazo Maquraysh wamepewa na hawataoewa wao wowote baada ya wao.
Soma Zaidi...DARSA ZA TAJWID YALIYOMOSURA YA 01 .
Soma Zaidi...