Nahtaji kujua dalili za Mama mjamzto kujifungua

Nahtaji kujua dalili za Mama mjamzto kujifungua

NIna swali hapa
Nahtaji kujua dalili za Mama mjamzto kujifungua



Namba ya swali 031

Tafadhali bofy link hii hapo Bofya hapa



Namba ya swali 031

Saw naomba nujue kingine vipi kwann kunakua n maumivu sana unahc kama kuvutwa au kuchomwa chin ya kitovu unahc kama unachomwa had unashindwa kutembea hio inasababshwa nanini?



Namba ya swali 031

Una ujauzito?



Namba ya swali 031

Ndio na natarajia kujifungua mwezi huu



Namba ya swali 031

Hiyo ni kwa sababu ya misuli katika mji wa mimba inatanuka na kusinyaa



Namba ya swali 031

Asante sana kwahyo hamna tatzo kwahyo ni kitu cha kawaida kujihc hivyo?



Namba ya swali 031

Yes ila kama inatokea mara kwa mara kiasi cha kukukosesha amani vyema imuone daktari



Namba ya swali 031

VP kunakua na mimaj ya rangi nyeupe inatoka kwa wing cjui sababu nn



Namba ya swali 031

Kutoka maji si jambo la kushabgaa kwa mwenye ujauzito hasa karibu ba kujifingua. Kama yatakuwa na harufu mbaya na muwasho, maumivu makali sana ta tumbo kupita kiasi ama kichwa kupita kiasi ni vyema kumuina daktari....



Namba ya swali 031

Sawa asante sana



Namba ya swali 031

Sina bando, kufungua hiyo link, naomba tu niambie japo kwa ufupi dalili za kukaribia kujifungua



Namba ya swali 031

Kutokwa na majimaji mengi ukeni Maumivu ya tumbo mara kwa mara Mtoto anashuka maeneo ya nyonga Njia ya kujifungulia kuachia zaidi na kuwa kubwa Uchofu mkali sana Viungo kama kulegea ama kuachia. Dalili ya uchungu wa kujifungua ni maumivu ya tumbo yanayojuwa makali kama dk 5 ama pungufu ya hapo kisha yanapoa kwa dakika kadhaa kama 30 ama pungufu kisha yanarudi tena



Namba ya swali 031

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 138

Post zifazofanana:-

elimu yenye manufaa
Soma Zaidi...

Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?
Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi? Soma Zaidi...

Chemsha bongo namba 08
20. Soma Zaidi...

Allah(s.w) Amnusuru Ibrahim (a.s) na Hila za Makafiri
Pamoja na kudhihirikiwa na ukweli wa udhaifu wa miungu wa kisanamu, watu wa NabiiIbrahiim(a. Soma Zaidi...

HARUSI YA ALADINI NA BINTI SULTANI
Soma Zaidi...

Jifunze kupitia Bongoclass
Soma Zaidi...

Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako Soma Zaidi...

Darsa za Dua
Download kitabu hiki na upate kusoma zaidi ya dua 120, pamoja na darsa mbalimbali za dini ya kiislamu. Soma Zaidi...

Asteroids, Meteorites, Comets and Satellites
These are solid metal rock objects that orbit the sun, and they are not as bigger as planets. They are mostly found between the orbit of Mars and Jupiter. Soma Zaidi...

mambo gani ni haramu kwa mwenye damu ya Hedhi na nifasi (damu ya uzazi)
Soma Zaidi...

TABIA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Siku ya Taqwiya na kusimama Arafa
5. Soma Zaidi...