Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?

Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?

Nashukuru kwa ushauri, Je!

Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?

Nashukuru kwa ushauri, Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?



Namba ya swali 002

Ni vyema kupata ushauri wa daktari kwanza. maana kama sababu ya vidonda vyako ni Asidi (tindikali) vitu hivi sio vizuri kwani vinaongeza asidi (tindikali) na kusababisha hali kuwa mbaya zaidi. Hivyo si vyema kutumia kwa wingi vitu vya uchachu kwa vidonda vya tumbo visababishwavyo na asidi (tindikali)



Namba ya swali 002

Ahasante



Namba ya swali 002

Karibu tena ukiwa na swali ama maoni



Namba ya swali 002

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2642

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake

Soma Zaidi...
Fahamu vitamini C na kazi zake, vyakula vya vitamini C na athari za upungufu wake.

kuhusu vitamini C, kuanzia chanzo chake, maana yake, upungufu wake na kazi zake kwenye miili yetu.

Soma Zaidi...
Faida za kula Nyanya

Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya

Soma Zaidi...
Mboga ambazo zimekuwa kuweka kiwango cha sukari juwa sawa

Posti hii inahusu zaidi mboga mboga za majani ambazo zinaweza kuweka sukari kwenye kiwango cha kawaida.

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Soma Zaidi...