binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?

Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani? Na je anapaswa kula vyakula vya vitamini gni



Namba ya swali 019

Hiyo tunaita mpauko na si weupe. Kama ni viganja tunasema vimepauka, ama ngozi imepauka.



Namba ya swali 019

Hali hiyo huweza kuashiria upunguvu wa damu. Kula matunda kwa wingi na mboga za majani hali itakaa sawa



Namba ya swali 019

sswa



Namba ya swali 019

Ukiwa na maoni ama maswali wakati mwingine unakaribishwa sana



Namba ya swali 019

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 1931

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 web hosting     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Hatua za kufuata baada ya kuhisi kuwa umeambukizwa na virusi vya HIV

Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.

Soma Zaidi...
Namna ya kumwosha Mgonjwa vidonda

Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.

Soma Zaidi...
Dalili za shambulio la hofu

Shambulio la hofu ni tukio la ghafla la hofu kali ambayo husababisha athari kali za kimwili wakati hakuna hatari halisi au sababu inayoonekana. Mashambulizi ya hofu yanaweza kuwa ya kutisha sana. Mashambulizi ya hofu yanapotokea, unaweza kufikiri kwamba

Soma Zaidi...
Utaratibu wa lishe kwa vijana

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa vijana

Soma Zaidi...
Upungufu was fati

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu was fati

Soma Zaidi...
Kazi ya chanjo ya kifua kikuu

Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.

Soma Zaidi...