Nini hutokea unapokuwa kwenye ndoto ukiwa usingizini umelala

Ndoto ni moja ya mamba ambayo yanatokea mwanadamu na sayansi haina uelewa hasa nini hutokea. Hata hivyo yapo machache tafiti za kisayansi zinatueleza.

Kuhusu ndoto,  tafiti za kisayansi zinasema kuwa: 

' Ubongo umegawanyika katika sehemu tatu wakati unapokuwa umelala usingizi na ukaanza kuota ndoto. 

 

' Sehemu ya kwanza kutengeneza stori, mara nyingi stori hizi hutokana na maisha ya kawaida kama kusikia,  kuona mwenyewe,  kuhisi ama kujuwa,  na hata kutamani. 

 

'Sehemu nyingine ya ubongo huwa ni muhusika wa hiyo ndoto. Sehemu hii huleta furaha ma watoto ni mpya kufurahisha,  na hutishika,  huhuzunika,  hushangaa na zaidi. 

 

' Ni sawa na kusema kama sehemu moja ya ubongo inasimulia na nyingine inasikiliza. Kwahiyo sehemu hizi mbili zinashirikiana. 

 

' Sehemu ya tatu ni sehemu inayohusika na kufikiri na kutenda. Sehemu hii wakati upo kwenye ndoto inakuwa imelala yaani haipo kazini. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/22/Thursday - 09:38:14 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 548


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-