Namna ya kufanya ngozi juwa laini

Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufanya ili ngozi iweze kuwa laini bila kuwa na make up yoyote.

Namna ya kufanya ngozi yako kuwa laini.

1. Ni njia ambazo utumiwa na watu mbalimbali ili kuhakikisha kubwa ngozi inakuwa laini kwa matumizi mbalimbali ya vyakula na mazoezi kwa kuzingatia yafuatayo.

 

2. Punguza matumizi ya chumvi.

Kwa kawaida chumvi usaidia kufanya vitu mbalimbali kwenye mwili ila na yenyewe ikiwa nyingi usababisha mwili kutokuwa na hali ya kuvutia.

 

2. Usichanganye maziwa  ya wanyama na matunda.

Kwa sababu kazi ya maziwa huwa ni kufyonza kwa hiyo ukichanganya maziwa na matunda kwa kawaida maziwa yatafyonza vitamini muhimu ambavyo usababisha mwili kunawili.

 

3. Epuka matumizi ya mara kwa mara ya make up nzito usababisha mwili kuwa na makunyanzi.

 

4. Fanya mazoezi mepesi na kunywa maji kwa wingi kwa sababu maji usaidia kurainisha mwili.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/22/Friday - 04:45:02 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 991


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-