Hapa utajifunza usomaji wa Quran pindi utakapokuta nuni yenyebsakina au tanwin
HUKUMU YA NUN SAKINA NA TANWIN
KUKUMU ZA NUWN SAAKINAH NA TANWIYN.
Nuwn saakinah: Ni herufi ya nuwn ΩΩ isiyokuwa na i’raab ambayo huthibiti katika kutamkwa, kuandikwa, kusimama na katika kuunganisha. Tanwiyn: Ni nuwn saakinah iliyozidi inapatikana mwisho wa nomino kwa kutamkwa wakati wa kuunganisha na hutengamana na hiyo nomino wakati wa kuandika na kusimama.(al-hidaayah.com).
Wataalamu wa Tajwid wanaeleza hukumu nne pindi nuwn sakinah na tanwiyn zinapokutana. Hukumu hizo ni:-
1. Idh-har
2. Ikh-faa
3. Id-gham
4. Iq-lab
Tutaziona moja baada ya nyingine kwenye post inayofuata.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Ni zipi hizo herufi saba, na ni vipi viraa saba katika usomaji wa Quran
Soma Zaidi...Wanazuoni wengi zaidi wanakubaliana ya kuwa sura hii surat At-Takaathur ilishuka Makka, na hizi ndio sababu za kushuka kwa sura hii
Soma Zaidi...SURA YA NNE HUKUMU ZA MIYM YENYE SAKNA HUKUMU ZA MIYM SAKINA: Mym sakina ni miym ambayo haina iβrab ( Ω Ω).
Soma Zaidi...SURATUN-NASR Sura hii imeteremka wakati Mtume (s.
Soma Zaidi...