HUKUMU ZA IDGHAM
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
SURA YA TANO
HUKUMU ZA IDGHAM . 1 Idghaam Al-Mutamaathilayni (Zinazofanana)
Hukumu hii hutokea wakati herufi mbili za aina moja zinapokutana, kwa namna ya kuwa herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itafanya herufi ya kwanza iingizwe kwenye herufi ya pil na hivyo hii ya pili inawekwa shada.
2 إِدْغام الْمُتَجانِسَيْنِ Idghaam Al-Mutajaanisayni (Zinazoshabihiana)
Hii hutokea pale herufi mbili zinazokaribiana kufanana katika matamshi zikkititana, na mnmna ambayo herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itapelekea kuwekwa shada kwa herufi ya pili.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 ai web app 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Sababu za kushuka kwa surat al-Fiil
SURAT AL-FIILSura hii imeteremshwa Makkah na ina Aya Sita pamoja na Basmallah.
Soma Zaidi...Sababu za kushuka surat an-Nas na surat al Falaq
Sura mbili hizi pia hujulikana kwa jina la al muawidhatain ambazo ni surat an Nas na surat al falaq.
Soma Zaidi...Maisha ya Mtume Muhammad s.a.w kabla ya utume
Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.
Soma Zaidi...Nini maana ya Iqlab katika hukumu za tajwid
Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
Soma Zaidi...