Maswali yanayohusu quran

Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Zoezi la 6.

  1. (a)  Ainisha idadi ya sura za Makkah na za Madinah.

(b)  Tofautisha kati ya sura za Makkah na zile za Madinah.

  1. Onesha jinsi ambavyo Qur’an iliwekwa katika msahafu moja wakati wa Mtume (s.a.w) na umuhimu wa kunakiliwa upya wakati wa Uthman bin Affan (r.a).

 

  1. Bainisha hoja za Makafiri dhidi ya Qur’an na udhaifu wa hoja hizo.
  2. (a) Kwa kurejea Suratul-Fiyl, andika tafsiri yake na kisha toa mafunzo matano yatokanayo na sura hiyo.

(b) “Adhabu kali itamthubutikia kila mwenye kuramba kisogo, asengenyaye, msengenyaji” (104:1).

Kwa mujibu wa aya hii, dhihirisha ubaya wa kusengenya.

  1. “Kisha mtaulizwa juu ya (kila) neema mlizoneemeshwa” (102:8).

Kwa mujibu wa aya hii, bainisha baadhi ya neema alizopewa mwanaadamu na Mola wake.

  1. Eleza hatua alizochukua Mtume (s.a.w) katika kuihifadhi na kuilinda Qur’an.

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Je umeipenda post hii ?

Ndio            Hapana            Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Quran Main: Dini File: Download PDF Views 2203

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana: