NAJISINajisi ni uchafu unaohusiana na vitu vifuatavyo:


1. Damu.
2. Usaha.
3. Matapishi.
4. Udenda.
5. Haja ndogo na kubwa ya binaadamu au mnyama.
6.Pombe za aina zote.
7.Mzoga wowote isipokuwa wa binaadamu, samaki na nzige (au jamii ya nzige).
8.Kiungo cha mnyama kilichokatwa naye yu ngali hai
9.Maziwa ya mnyama asiye halali kuliwa kama vile paka, punda wa nyumbani, farasi, n.k.
10.Mbwa na Nguruwe na kila kinachotokana nao.