Swala ya Kuomba Toba (tawbah) na namna ya kuiswali

Swala ya Kuomba Toba (tawbah) na namna ya kuiswali

N Swala ya Kuomba Toba (tawbah) na namna ya kuiswali

10. Swalatut-Tawbah



Swalatut-Tawbah ni swala va kutubia.Muislamu akitclcza na kuritkosea Mola wake au bina tdainu mwenzake au akidhulumu naisi yake, hana budi kutubu upesi iwezekanavvo. Kutubu maana yake ni kujutia kosa ulilolifanya, kuku.na moja kwa moja kufanya kosa kilo. kuahidi kwa dhati moyoni kutorudia kosa hilo na kuomba msamaha kwa Allah kama umemkosea Yeve moja kwa moja. Kama umemkosea binaadamu kwanza muombe msamaha yeye mwenyewe kama inawezekana, kisha muombe Mwenyezi Mungu msamaha. Kama haiwezekani kumuomba msamaha huyo uliyemkosea, muombe msamaha Mwenyezi Mungu.



Njia nzuri ya kutubia ni kuswali rakaa mbili kisha kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu kama tunavyojifunza katika Hadithi ifuatavo:
Abu Bakar ir.al amesimulia kuwa Mtutne (s.a.w) amesema:



β€œNa ambao wanapofanya uchafu au kudhulumu nafsi zao humkumbuka Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha kwa dhambi zao. Na nani anayeghufiria dhambi isipokuwa Mw enyezi Mungu? Na haw aendelei na (maovu) waliyoyafanya, hali wanajua (kuwa hayo ni maovu). (3:135-136)




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: General Main: Post File: Download PDF Views: 4288

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰2 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰4 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰5 ai web app     πŸ‘‰6 web hosting    

Post zinazofanana:

Mjue Muislamu aliyeanzisha Chuo kikuu cha kwanza dunani

Chuo kikuu cha wanza duniani cha Elimu kielimu hakukihusu tu waislamu bali hata ambao sio waislamu walipata fursa ya kujifunza.

Soma Zaidi...
Kiwango cha mahari katika uislamu

Kiasi gani Kinachojuzu kutolewa Mahari?

Soma Zaidi...
DARSA ZA TAWHID

Jifunze tawhid yaani kumpwekesha Allah subhaanah wata'aala

Soma Zaidi...