Sahaba wa kwanz akufariki akiwa shahidi, alifariki kwa sababu ya mateso aliyoyapata kutoka kwa Makafiri wa ki Quraysh
Swahaba wa kwanza kufariki kutokana na mateso katika Uislamu alikuwa Sumayyah bint Khabbat (رضي الله عنها).
Baada ya kuuawa kwake, mume wake Yasir bin Amir pia alifariki kutokana na mateso, na mwana wao Ammar bin Yasir (رضي الله عنه) aliendelea kuwa miongoni mwa Maswahaba mashuhuri wa Mtume Muhammad (SAW).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
(i) Suratul- ‘Alaq (96:1-5)“Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba Aliyemuumba mwanaadamu kwa ‘alaq.
Soma Zaidi...