Serikali ina nafasi katika kufanya mgawanyiko katika uchumi.
Nafasi ya serikali katika ugawaji
Katika suala la ugawaji, wajibu wa serikali ya Kiislamu upo katika maeneo makuu yafuatayo:
(i)Kusimamia utoaji na ukusanyaji wa zaka. Serikali ndiyo yenye wajibu wa kuhakikisha kuwa kila anayepaswa kutoa Zaka anatoa na serikali inasimamia ukusanyaji wake.
(ii)Kutoza na kukusanya kodi iwapo zaka haiku to s ha.
(iii)Kutoza na kukusanya Jizya (aina ya kodi) kutoka kwa wasiokuwa Waislamu (dhimmi) wanaoishi katika dola ya Kiislamu.
(iv)Serikali ya Kiislamu pia inao wajibu wa kuchukua hatua za kupunguza tafauti kati ya maskini na matajiri, kwa kugawa Zakat na kutoa huduma muhimu bure kwa maskini
Umeionaje Makala hii.. ?
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukugundisha jinsi ya kutawadha hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Kila najisi ina namna yake ya kutwaharisha, hata hivyo namna hizo hufanana. Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutwaharisha najisi mbalimbali.
Soma Zaidi...Unadhani mwanamke kupewa mahari kitendo hiki kinaweza kushusha hadhi yake?
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukugundisha kuhusu swala ya ijumaa taratibu zake na jinsi ya kuiiswali.
Soma Zaidi...Posti hii itakufundisha masharti yanayohitajika kwa mwenye kutaka kutia udhu.
Soma Zaidi...