
Faida za kiafya za kula Maini
- husaidia katika kuipa miili yetu nguvu za kutosha
- Huboresha afya ya ngozi
- huimarisha afya ya mifupa
- Maini ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
- Husaidia kuboresha afya ya ubongo
- Ni chakula kizuri kwa ukuaji wa misuli
- Huondosha sumu mwilini
- Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani
- Huupanguvu mfumo wa kinga