
Faida za kiafya za kula kisamvu
- kisamvu ni kizuri kwa wanawake wajawazito kwani kina vitamini C vingi
- Husaidia kupambana na kwashoorkor (kwashiakoo) aina ya utapiamlo
- Majani ya kisamvu yakipondwa husaidia kuondosha homa na maumivu ya kichwa
- Hutibu kuhara unasanga majani
- Hutibu tatizo la macho kutokuona vyema unachemsha majani ya kisamvu pamoja na tangawizi na chumvi
- Huongeza hamu ya kual chemsha kisamvu, tangawizi na chumvi kisha kunywa
- Hutibu minyoo
- Husaidia kuchelewa kuzeheka
- Hutibu stroke
- Huongeza stamina
- Husaidia katika kupona kwa vidonda na majeraha kwa haraka
- Huboresha mfumo wa kinga