Maswali juu ya Mambo anayopaswa kufanyiwa maiti ya muislamu
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Zoezi la 3.
- Bainisha mambo manne ya msingi kufanyiwa muislamu mara tu baada ya kufa.
- Bainisha tofauti kati ya sanda ya;
(a) Maiti ya mwanamke.
(b) Maiti ya mwanaume.
(c) Maiti ya toto.
- (a) Taja nguzo za kuosha maiti.
(b) Taja sehemu zinazofaa kutumika katika kuoshea maiti.
(c) Ni zipi sifa za muosha maiti?
- Eleza hatua kwa hatua namna ya kumuosha maiti wa Kiislamu.
- Ni mambo gani maiti ya shahidi haitakiwi kufanyiwa? Taja mambo matatu.
- Fafanua ni kwa vipi unaweza kuandaa sanda ya maiti wa kike na kumkafini.
- Taja tofauti kati ya swala ya kumswalia maiti na swala ya kawaida.
- (a) Ni yapi masharti ya kuswaliwa maiti wa Kiislamu?
(b) Orodhesha nguzo za swala ya maiti.
- (a) Eleza hatua kwa hatua namna kutekeleza swala ya maiti.
(b) Taja mambo manne yaliyoharamishwa kufanyiwa kaburi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 web hosting 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 web hosting 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Kumswalia maiti, masharti ya swala ya maiti
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Jinsi ya kujitwaharisha kutokana na najisi
Post hii inakwenda kukufundisha jinsi ya kujitwaharisha kutokana na najisi.
Soma Zaidi...Swala ya jamaa na taratibu zake
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu swala ya jamaa na taratibu zake.
Soma Zaidi...