Dalili za mimba kutoka.

Post hii inahusu zaidi dalili za mimba kutoka, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mimba zote ambazo utaka kutoka kama ifuatavyo.

Dalili za mimba kutoka.

1. Dalili ya kwanza ni kutokwa na damu sehemu siri.

Kwa sababu kichanga kinakuwa kimeachia ndani ya tumbo la uzazi la Mama hali ambayo usababisha kutoka kwa  damu, kwa kawaida damu huwa ni ya moja kwa moja na haikati.

 

 

 

 

2. Maumivu kwenye tumbo.

Kwa kawaida kama kichanga kimeachia usababisha maumivu chini ya tumbo hasa tumbo la chini kwa kawaida maumivu haya uambatana na kutokwa kwa damu na kwa kawaida maumivu huwa ni makali.

 

 

 

 

3. Mlango wa kizazi kufunguka.

Kwa kawaida ili mtoto aweze kupita ni lazima mlango wa kizazi uweze kufunguka, kwa hiyo kama mtoto ameachia kwenye mfuko wa uzazi hivyo hivyo mlango wa kizazi ufunguks ili kuweza kuruhusu kichanga kiweze kupita.

 

 

 

 

4. Vipande vipande vya kichanga kuweza kupita.

Kwa kawaida ili mimba kutoka kwanza kabisa vipande utoka kimoja kwa kingine ni vizuri kabisa kuhakikisha kwamba vipande vinatoka vyote ili kuepuka madhara.

 

 

 

 

5. Kama mimba ikitoka ukienda kupima unaweza kuona vipande vipande na pia unaweza kuona sehemu mbalimbali ambazo zimeachia kwa hiyo ni vizuri kabisa kufuata utaratibu wote wakati wa kumsaidia mama.

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/11/13/Sunday - 09:42:50 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1308


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-