Shida ya kifua kubana inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya ukimwi
Kubana kwa kifuwa ni katika hali ambazo si naweza kuhatarisha maisha. Huwenda kuwa ni miongoni mwa dalili za magonjwa mengi. Je unadhani na HIv na UKIMWI ni moja ya magonjwa hayo?
Swali
Shida ya kifua kubana inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya ukimwiâ”
Jibu
👉 Kubanwa kwa kifuwa si katika dalili za maambukizi ya UKIMWI. Naam hutokea mwanzoni wa maambukizi ya VVU mtu akapatwa na hali hii ya pumzi kubana, na kushindwa kupunguwa vyema.
👉Itambulike kuwa kubana kwa kifuwa pekee sio dalili ya UKIMWI au HIV. Kama unahisi una maambukizi vyema kufika Kituo cha afya kupata vipimo🌡ï¸ðŸŒ¡ï¸
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Soma Zaidi...Ujue ugonjwa wa tauni
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa tauni ambao kwa kitaalamu huitwa plague ni Ugonjwa unaosababishwa na wadudu ambao huitwa kitaalamu huitwa yersinia pestis ambao ukaa ndani ya panya.
Soma Zaidi...Njia salama za kuongeza uwezo wa kushika mimba.
Kupata ujauzito ni safari inayohitaji maandalizi ya mwili na akili. Kwa wanandoa wengi, mabadiliko madogo lakini yenye tija katika mtindo wa maisha yanaweza kuongeza nafasi za kupata mtoto kwa kiasi kikubwa. Makala hii inaangazia mbinu zilizothibitishwa kisayansi za kuboresha afya ya uzazi na kuongeza nafasi za kushika mimba kwa njia salama na ya asili.
Soma Zaidi...je Kama utaonekana kupatwa na homa,kichwa,tumbo, kiharisha kwa siku moja( ya kwanza) na vyote kupona siku nyingine (ya pili kupona) pasipo kutumia dawa inaweza kuwa Ni dalili ya ugonjwa wa zinaa ?
Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako
Soma Zaidi...