Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
JINSI YA KUTUMA SMS NDEFU
Inatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.
Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.
vinsi ya kutatuwa tatizo hili.
zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili
1.nenda playstore ukadaunlod big sms au bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa baadhi ya matatizo katika hard disk
Soma Zaidi...Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia simu yako kutokuwa na mtandao mzuri yaani network kuwa ndogo.
Soma Zaidi...Facebook hawana mpango wa kufunga akaunti ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu, haijalishi akaunti ni ya marehemu ama yupo hai.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube
Soma Zaidi...Namna ya kutunza betri yako iweze kudumu kwa muda mrefu
Soma Zaidi...