Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye mrija wa mkojo, maambukizi haya usababishwa na virusi na bakteria.
Dalili za maambukizi kwenye mrija wa mkojo
1. Maumivu makali wakati wa kujamiiana. Hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye mrija
2. Kutoka uchafu kwenye mrija wa mkojo. Kwa sababu ya maambukizi kwenye mrija ambapo bakteria waharibifu utafuna mazingira yaliyo kwenye mrija
3. Kikohoa damu mara kwa mara
4. Kuwasha katika sehemu za uume, inawezekana ikawa nje au ndani
5. Kikohoa sana, hasa utolewa wakati wa mwanzoni maambukizi yanapotokea.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
Soma Zaidi...UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo,ni dalili ambazo ujionesha kwa mtu akiwa na shida kwenye utumbo mdogo na tumbo la kawaida.
Soma Zaidi...Malaria husababishwa na vimelea (parasite) ambavyo husambazwa ama kubebwa na mbu aina ya anopheles.
Soma Zaidi...hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa na Ugonjwa unaohusiana na joto ambao hujulikana Kama Anhidrosis ni kutoweza jasho kawaida. Usipotoa jasho mwili wako hauwezi kujipoza, jambo ambalo linaweza kusababisha joto kupita. wakati mwingine inaweza k
Soma Zaidi...