Zoezi - 4

Zoezi - 4

Zoezi - 4


1. Nukuu aya ya Qur-an au tafsiri yake inayotufahamisha lengo la kuletwa binaadamu hapa ulimwenguni.



2. β€œ(Wakumbushe) wakati Mola wako alipowaambia Malaika, β€œMimi nitaleta khalifa katika ardhi...” (2:30) Kwa mnasaba wa aya hii khalifa ni .



3. β€œMwenyezi Mungu amewaahidi wale walioamini miongoni mwenu na kufanya vitendo vizuri kuwa atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyowafanya makhalifa wale waliokuweko kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyowapendelea na atawabadilishia amani baada ya hofu yao. Waw e w ananiabudu, haw anishirikishi na chochote...” (24:55) Kutokana na aya hii tunajifunza yafuatayo:


(i)


(ii)


(iii)


(iv)



4. Waumini wa kweli katika jamii wanadhima ya kufanya yafu atayo:


(i)


(ii)


(iii)




5. Kwanini Waislamu wanalazimika kuusimamisha na kuuhami Uislamu katika jamii? *************************




                   


Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 791

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰2 Kitau cha Fiqh    πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰4 Bongolite - Game zone - Play free game    πŸ‘‰5 Madrasa kiganjani    πŸ‘‰6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: