Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.
1. Dawa hii ya haloperidol kwa mtu aliyechanganyikiwa usaidia kutuliza mfumo kwenye sehemu ya mfumo wa fahamu hata kama mtu amechangamka kiasi gani, dawa hii pia usaidia kutuliza wale wagonjwa wa akili ambao wanachachamaa sana na kuruka huku na huku kupiga watu na kufanya mambo kama hayo.
2. Dawa hii utibu magonjwa mawaili ya akili ambayo Kwa kitaamu huiitwa mania na schizophrenia na pia usaidia kutuliza hali ambazo umjia mgonjwa wa akili kama vile kuwaza kwamba yuko mbali na dunis, anaweza kufanya mambo makubwa na hali kama hizo kwa kutumia dawa hizi za haloperidol mgonjwa urudia hali yake ya Kawaida.
3. Pia dawa hizi huwa zina dozi tofauti tofauti kwa watoto na watu wazima kulingana na umri pamoja na Uzito, dozi kwa kawaida uanzy milligrams mbili mpaka tano na kawaida uongezeka mpaka mia Moja kadri ya tatizo la mgonjwa kulingana na wataalamu wa afya.
4. Kwa kuanzia kwa watoto kwa kawaida uanzia milligrams ishilini na tano mpaka hamsini, kwa Vijana uanzia milligrams thelathini na kuendelea kwa watu wazima uanzia milligrams miatano kwa mara mbili, kwa hiyo dozi utegemeaana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
5. Pia dawa hii huwa na maudhi madogo madogo kama vile midomo kukauka, kuishiwa na nguvu,ulimi kushindwa kutamka maneno na mambo kama hayo, kwa hiyo ni vizuri kumpatia mgonjwa chakula anapokuwa anatumia dawa.
6. Kwa hiyo dawa hii inapaswa kutumiwa na watu mbalimbali ila wale wenye kifafa wanapaswa kuitumia kwa taahadhari au kwa uangalizi zaidi na pia wenye aliji na dawa hii wanapaswa kutumia dawa nyingine tofauti na hii.
7. Dawaa hii inapaswa kutumiwa kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa ya Sp , kirefu cha dawa hii ni sulphadoxine na pyrimethamine hii dawa ilitumika kutibu malaria kwa kipindi fulani lakini sasa hivi imebaki kutumiwa na wajawazito kama kinga ya kuwazuia kupata malaria.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia ya kufanya Ili kuweza kutumia tiba hii ya jino, kwa sababu ya mchanganyiko ambao umekwisha kuwepo kwa hiyo unachumua mchanganyiko unafanya kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu ukoma,na dawa hiyo ni dawa ya Dapsoni, hii dawa usaidia kuzuia nerve zisiendelee kupoteza kazi yake pia na ngozi iendelee kuwa kawaida
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maambukizi na mashambulizi ya virusi na bakteria kwenye sehemu za siri ama via vya uzazi?. Posti hii inakwenda kuupa ushauri.
Soma Zaidi...Unapotaka kufanyiwa baadhi ya matibabu unatakiwa kupewa ganzi ama nusu kaput ili kulifanyia usihisi maumivu. Dawa hizi zinajulikana na Anesthesia.
Soma Zaidi...