Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2,
1. Kwaza kabisa tunapaswa kujua maana ya P2 ni vidonge ambavyo utumiwa Ili kuweza kuzuia mimba isitungwe baada ya masaa sabini na mawili baada ya kujamiiana bila kutumia kinga. Vidonge hivi upenda kutumiwa sana na akina dada na Mama wengi wakiwa na lengo la kuzuia mimba. Yafuatayo ni madhara ya matumizi ya mara Kwa mara ya P2.
2. Matiti kuuma na kuvimba.
Kuna wakati mwingine matiti yanauma na kuvimba kwa sababu ya matumizi ya mara Kwa mara ya P2 hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa muingiliano wa homoni za ndani ya mwili na zile za P2 kwa hali hii usababisha maumivu kwa akina Mama na dada .
3. Kujisikia vibaya yaani mwili kukosa nguvu pamoja na kulegea na kuhisi kuwa umeboreka na kila kitu kwa watu wengine ufanana kama wameugua kabisa kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha P2 mwilini.
4. Kuhisi kichefuchefu na kitapika.
Kuna wakati mwingine watumiaji uhisi kichefuchefu na pengine kutapika Kabisa, wengine upata mda mfupi baada ya kutumia lakini wengine upata mda mrefu baada ya kutumia, hali hii ya kutapika usababisha mwili kulegea na kukosa nguvu.
5. Pia vidonge hivi vina tabia ya kibadilisha mzunguko wa hedhi, Kuna wakati mwingine hedhi uchelewa au kurefuka na kuzidi siku Saba au pengine hedhi inaweza kuwa nzito au nyepesi.
6. Usababisha ugumba.
Kwa sababu kazi ya P2 ni kuzuia mji wa mimba kuharibiwa Ili mimba isitungwe au kuzuia yai lililochevuswa kutokomaa kwa kufanya hivyo usababisha madhara makubwa ikiwa kila mara hali hii inatokea hatimaye mama Akita kubeba mimba mji wa mimba unaharibika wenyewe kwa sababu ya kuwepo kwa mazoea ya P2.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Soma Zaidi...Kutokuwa na damu wakati wa ujauzito ni hali uliyo ya kawida lakini inapaswa kujuwa sifa za damu hiyo nabje unatoka kwa namna gani. Kama unasumbuliwa na tatizo hili makala hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi changamoto za kwenye ndoa kwa wale waliotoa mimba mara Kwa mara,hizi ni changamoto za wakati wa kufanya tendo na mme wake au mtu mwingine kwa ajili ya kupata mtoto.
Soma Zaidi...Hivi unadhani kuharisha ni katika dalili za mimba, vipi kuhusu kutopata choo pia inaweza kuwa ni ujauzito?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye ngozi wakati wa ujauzito, ni mabadiliko yanayotokea kwenye ngozi ya Mama wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza
Soma Zaidi...