HADITHI ZA ALIF LELA U LELA KITABU CHA TATU: HADITHI YA NURDINI
HADITHI ZA ALIP LELA U LELA KITABU CHA TATU
HADITHI ZA ALIP LELA U LELA KITABU CHA TATU
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Kama wasemavyo waliokula chumvi nyingi kuwa muomba mungu hachoki, basi waziri Faridi aliendelea kuomba Mungu hata siku moja akapata taarifa kuwa kuna watumwa wametokea nchi za Uajemi.
Soma Zaidi...SAFARI YA KURUDI NYUMBANI Kamaralzamani siku hiyo akamfuata baba mkwe wake na kmueleza ukweli wa mambo na kuwa yeye si mganga.
Soma Zaidi...Mama aliendelea kugomba sana kisha akamfungia binti ndani na kuweka walinznwa kiume, kisha akawaambia โharuhusiwi kuingia wala kutoka yeyote humu ndnai, hata mbwa Nurdiniโ neno mbwa lilimtoka tu mama Nurdini kisha akajilaumu kwa kumfana nisha ...
Soma Zaidi...KATIKA BOSTANI LA KIFALME BAGHADADBasi Nurdini na mke wake bila hata ya kujuwa wapi watafikia waliingia kwenye mashua na kuwasili Baghada wakati wa jioni.
Soma Zaidi...NDOA YA HAMU Basi hali ikawa kama hivyo wawili hawa binamu na Kamaralzamani wakaanza kupanga njama ya kuweza kuondoka eneo lile kuelekea nchi za mbali kwa ajili ya kukutana na binti mfalme.
Soma Zaidi...