Hadithi Ya 31: Upe Ulimwengu Kisogo Allaah Atakupenda
Hadithi Ya 31: Upe Ulimwengu Kisogo Allaah Atakupenda
الحديث الحادي والثلاثون
"ازهد في الدنيا يحبك الله"
عَنْ أَبِي العَبّاسِ سَهلِ بْن سَعْدٍ السّاعِدِيِّ رضي الله عنه قَالَ : جَاءَ رَجُلُ إِلى النَبِي صلى الله عليه وسلم فَقَالَ : يَا رَسُولَ اللَّهِ دُلَّنِي عَلَى عَمَلٍ إِذَا عَمِلْتُهُ أَحَبَّنِي اللَّهُ وَأَحَبَّنِي النَّاسُ . فَقَالَ: (( ازْهَدْ فِي الدُّنْيَا يُحِبُّكَ اللَّهُ وَازْهَدْ فِيمَا عِنْدَ النَّاسِ يُحِبُّكَ النّاسُ)).
رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ وَغَيْرُهُ بِأَسَانِيدَ حَسَنَةٍ.
HADITHI YA 31 UPE ULIMWENGU KISOGO ALLAAH ATAKUPENDA
Kutoka kwa Abu Al-‘Abbaas Sahl bin Sa'ad As-Saa'idiy رضي الله عنه ambaye alisema:
Mtu alikuja kwa Mtume صلى الله عليه وسلم na akasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu, nielekeze kitendo ambacho nikitenda kitasababisha Mola kunipenda na watu kunipenda. Akasema (صلى الله عليه وسلم ) : Upe ulimwengu kisogo na Mwenyeezi Mungu atakupenda, na jiepushe na mali za watu na watu watakupenda.
Imesimuliwa na Ibn Maajah na wengineo kwa mtiririko mzuri wa mapokezi.*
*Hata hivyo wanachuoni wa Hadiyth wameeleza kuwa Hadiyth hii ni dhaifu kutokana na udhaifu wa sanad yake japo An-Nawawiy kaitumia na kasema ina sanad nzuri.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 web hosting 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Dua Sehemu ya 01
Zijue fadhila za kuomba dua, tambua umuhimu na mahimizo juu ya kuomba dua?
Soma Zaidi...Fadhila za udhu yaani faida za udhu
Katika makala hii utajifunza faida za kuwa na udhu
Soma Zaidi...