Chemsha bongo 25

imageimage
26.Toroka
Mtu mmoja alikuwa amekamatwa, na akafunguwa kwenye chumba chenye milango miwili bila hata ya madirisha. Mlango wa kwanza ulikuwa na nyoka mkali anasubiri uje akugonge. Mlango wa pili ulikuwa na kioo ambacho kikipigwa na jua kunaunguza sana. Ukikisogelea tu unaugua kama moto.

Unadhani mtu huyu atatokaje salama kwenye chumba hiki?

Jibu
Atasubiri jua lizame ndipo atatoka kwa usalama