15.
15.Ngozi yangu
Hata ukinitowa ngozi yangu silii ng’o. na vinginevyo utalia mwenyewe. Je! Mimi ni nani?
Jibu
Kitunguu
Umeionaje Makala hii.. ?
Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.
Soma Zaidi...Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?
Soma Zaidi...