Je utatorokaje Gerezani

imageimage

Mnamo mwaka 1678 Kitui alipewa majaribio pindi alipopatwa na hatia ya wizi. Baada ya kesi alipelekwa gerezani kifungo kisicho na mwisho. Ila alipewa siku tatu za kutoka gerezani. Hakupewa chakula wala maji. Kitu pekee alichopewa ni chepe tu. Kama unavyoona kwenye picha. Pia chumba cha gereza kilikuwa kidogo kikiwa na dirisha moja tu dogo lenye upenyo mdogo wa kupita na kwa nyuma limezungukwa na bahari.

Chumba kilikuwa ni kirefu hivyo asingeweza kupanda. Urefu wa ukuta mpaka kufikia nkadirisha ni mita 5. cha chini ukuta umekwenda umbali wa mita tano, hivyo asingeweza kutoroka kwa kupitia chini. Kitui alitakiwa atoroke ndani ya siku tatu si hivyo angepoteza maisha. Je! Ungelikuwa ni wewe ungefanya nini? Tumia maarifa uliyo nayo kuweza kutoroka gerezani