Chemsha bongo namba 23

18.

Chemsha bongo namba 23

Chemsha bongo 23

imageimage
18.Shilingi
Juma alikuwa na glasi mbili za maji. Sikumoja akaweka maji kwenye glass hizo kisha akachimua sarafu mbili za shilingi miamoja. Akaingiza moja kwenye glass ikazama chini. Kisha akaingiza nyingine kwenye glass ya pili lakini haikuzama.

Juma alishangaa sana, lakini baada ya muda akaikuta imezama. Unadhani nini kimetokea kwenye glasi hii ya pili?

Jibu
Ni kwa sababu maji katika glasi ya pili yalikuwa yameganda.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1502

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana: