Jibu la swali

imageimage

Kwa kutumia chepe alilo nalo anaweza kuchimba udongo na kuukusanya. Udongo huo ukiwa mwingi ataweza kuuparamia na hatimaye kulipata dirisha kwa urahisi. Ukuta ni mrefu lakini kwa kuwa nje kuna bahari. Ataweza kuruka kupitia dirishani na kuingia baharini, kwa kuogelea ataweza kuokoka kwa urahisi bila ya kuumia.

Endelea kupata chemshabongo zaidi kwetu.