Chemsha bongo 06

imageimage
25.Jeni bafuni. Jeni aliingia chumba cha kuoga yaani bafuni. Baada ya muda akatoka na nywele zake zikiwa kavu bila hata ya kutoto. Unadhani jeni aliwezaje kufanya hivi?

Jibu
Ni kwa sababu jeni hakuoga