Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha. Kati kuna litaa linawaka sana. Ukiwa ni usiku simba mkari akaachiwa, kwa kasi sana anakufuata. Huna kisu wala chochote cha kupambana nae. Unatakiwa umuuwe ndani ya muda mchache. Je! Utatokaje kwenye chumba hiko
Jibu
Acha kuashumu.