2. Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis. Majina yete haya yanalenga vagina yaani uke.

 

Dalili za fangasi hawa wa ukeni

Wakati mwingine fangasi hawa wa kwenye uke wanakuwa hatari sana na kusababisha mipasuko kwenye ukuta wa uke, kuvimba na kuwa kwekundu. Hali hizi humfanya mwanamke kukosa hali ya kujiamini.

 

Walio hatarini zaidi

Fangasi hawa ni kawaida lakini kuna watu ambao wapo hatarini zaidi kupata fangasi hawa. Tafiti nyingi bado zinafanyika kuweza kugundua kwa nini watu flani wapo hatarini zaidi kuapa fangasi hawa. Watu hawa ni:-

Kupambana na fangasi hawa

  1. Vaa nguo za ndani zinazotokana na pamba
  2. Usivae nguo za kubana
  3. Vaa nguo zilizo kavu
  4. Zungumza na daktari kuhusu matumizi ya antibiotics kama zinakuletea madhara