5. Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces

Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Fangasi hawa wanaishi kwenye mazingira yenye majimaji haswahaswa kwenye udongo ama kwenye maozea kama ya miti au majani. Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwa kuvuta hewa ambayo imekusanya fangasi hawa.

 

Dalili za fangasibhawa:-

  1. Homa na maumivu vya kichwa
  2. Kukohoa
  3. Kutokwa na jasho usiku
  4. Maumivu ya mivuli na viungio
  5. Kupoteza uzito
  6. Maumivu ya kifua
  7. Uchovu wa hali ya juu sana

 

Kwa ufupi zipo aina nyingi sana za fangasi, na yapo maradhi mengi sana yasababishwayo na fangasi. Nadhani hapo juu nimekutajia aina maarufu za mangasi ana mago njwa yako. Pia nimekutajia baadhi ya njia za kutumia ili kupambana na fangasi hoa. Sasa nakwenda kukuorodheshea maradhi 7 yatokanayo na fangasi:-