Wanaume wenye kurithi ni kumi na tano (15)
I .Mtoto mwanamume.
2.Mtoto mwanamume wa mtoto mwanamume (mjukuu).
3. Baba.
4.Babu wa kwa baba.
5.Ndugu mwanamume wa kwa baba na mama.6.Ndugu mwanamume wa kwa baba tu.
7.Ndugu mwanamume wa kwa mama tu.
8.Mtoto mwanamume wa kwa ndugu mwanamume wa kwa baba na mama.
9.Mtoto mwanamume wa ndugu mwanamume wa kwa baba tu.
I 0.Ami (baba mdogo) wa kwa baba na mama (ndugu yake baba na mama).
11.Ami wa kwa baba tu.
12. Mtoto mwanamume wa Ami wa kwa baba na mama.
13.Kijana mwanamume waAmi wa kwa baba.
14.Mume.
15.Bwana mwenye kumwacha mtumwa huru.
Wanawake wenye kurithi ni kumi (10)
1.Binti (mtoto wa kike).
2.Binti wa mtoto mwanamume (mjukuu).
3.Mama.
4.Dada wa kwa baba na mama.
5.Dada wa kwa baba.
6.Dada wa kwa mama. 7.Bibi mzaa baba.
8.Bibi mzaa mama.
9. Mke.
10.Bibi mwenye kuacha mtumwa huru.