Dalili Za hatari ambayo zinaweza kusababisha ugumba

Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zilijitokeza zinaweza kusababisha ugumba hasa kwa wanawake, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kwa Dalili hizi hasa kwa wadada, kama kuna uwezekano wa matibabu tibu mapema ili kuepuka tatizo la kuwa mgumba.

Dalili za hatari ambazo zinaweza kusababisha ugumba.

1.  Kuwepo na maumivu makali wakati wa hedhi.

Ni tatizo ambalo linaweza au linawakuta watoto wengi wa kike kwa hiyo ni vizuri kabisa kutibu ili kuweza kuepuka na tatizo.

 

2. Kichefuchefu kikali kila ukikaribia kuingia kwenye siku zako za mwezi.

Kuna kichefuchefu cha kawaida kabla ya hedhi ila kuna kipindi kichefuchefu kinakuwa cha hatari kabisa na kusababisha madhara makubwa baadae.

 

3. Maziwa kujaa kila ukikaribia hedhi.

Hili ni tatizo mojawapo ambalo uleta shida kwa sababu unakuta maziwa yanajaa hata kama mtu hana mimba hali inayoleta wasi wasi mkubwa.

 

4. Pia matiti kuuma kwa hali isiyo ya kawaida.

Kwa kawaida kabla ya kuingia kwenye siku za mwezi matiti kwa kawaida uuma ila kuna kipindi yanauma sana na kuzidi kipimo.

 

5. Mwili kuuma sana ukikaribia hedhi na kusababisha hali ya kuwa mjamzito huku hakuna ujauzito wowote hizi ni hali isiyo ya kawaida kwa dada au mama hasiye na mimba.

 

6. Hedhi inayojirudia mara kwa mara.

Kwa kawaida kila mwezi inapaswa kuwepo kwa hedhi kwa mara moja ila kuna kipindi utokea mara mbili zaidi kwa hiyo ni hali hii ikijirudia kwa hiyo Usababisha matatizo makubwa.

 

7. Kukosa hedhi kabisa.

Kwa kawaida kuna kipindi hedhi zinakosa na kusababisha matatizo makubwa kwa hiyo hali hiyo siyo nzuri kabisa.

 

8. Kukosa hali ya kuwepo kwa hamu ya tendo la ndoa.

Kwa sababu ya kuwepo kwa hali ya homoni imbalance usababisha kuwepo kwa kukosa hamu ya tendo la ndoa.

 

9. Uchafu kutoka ukeni.

Kwa sababu ya kuwepo kwa kwa matatizo mbalimbali usababisha hali ya kuwepo kwa kutoka uchafu kwenye tendo la ndoa.

 

10. Kukosa Ute wa uzazi.

Na pia hii ni mojawapo ya hali ya hatari kwa sababu ya kuwepo kukosa kwa Ute kwenye uzazi.

 

11. Joto la mwili kushuka katika siku za hatari.

Kwa sababu mbalimbali kuna tatizo la kushuka kwa joto la mwili kwenye siku za hatari.

Kwa sababu Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/18/Monday - 02:05:40 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1673


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-