25.
25.Jeni bafuni.
Jeni aliingia chumba cha kuoga yaani bafuni. Baada ya muda akatoka na nywele zake zikiwa kavu bila hata ya kutoto. Unadhani jeni aliwezaje kufanya hivi?
Jibu
Ni kwa sababu jeni hakuoga
Umeionaje Makala hii.. ?
Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.
Soma Zaidi...