Nini Chanzo
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Sehemu ya nnne
.
2.KUFUNGUWA PROGRAM NYINGI KWA WAKATI MMOJA
Sababu ya pili inayofanya kompyuta yako au simu yako iwe slow yaan haina speed katika kufanya kazi ni kufunguwa program nyingi kwa wakati mmoja.
Hutokea wakati fulani mtumiaji wa kompyuta huwa anafunguwa program nyingi kwa wakatimmoja. Hii hali huweza kuifanya kompyuta yako iwe slow hasa ikiwa RAM na processor ni ndogo.
pia zipo software abazo kikawaida zenyewe ni mzito sana kufanyakazi katika kompyuta iliyo na RAM ndogo kwa mfano bluestacks appl player hii software yenyewe inahitaji kompyuta yenye uwezo mkubwa hivyo ukiifunguwa na software zingine kuna uwezo mkubwa kompyuta yako kuwa slow.
kulitatuwa tatizo
1.Funga program zote ambazo hauzitumii wakati huu. Unaweza kuzifunga kwa kuenda kwenye setting kisha task maneger, hapa utakuta orodha ya App ambazo zinafanya kazi. Chagua moja moja kisha uifunde (ende process).
2.Zuia background activities kwa program ambazo zinaran background. Ukienda setting kisha App maneger utakuta orodha ya App ambazo zinafanya kazi muda wowote. Chagua na uzifunge.
3.Hakikisha unapofungua program nzito kama bluestack au android studio na zinazofanana na hizi, usifungue pamoja na program zingine nzito kwa muda huohuo. Tahadhari hii ni muhimu kwa wale wanaotumia kompyuta zenye RAM ndogo.
5.Kwa wale wanaotumia simu pia hakikisha simu yako ina uwezo mkubwa kama unataka kufungua App nzito kama games. Pia hakikisha memori ya simu yako haijajaa mpaka mwisho na hakikisha simu yako ina nafasi ya kutosha kwenye RAM.
‹ ‹ Nyuma Mbele › ›› WhatsApp ‹ Whatsapp
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
SIMU KUSUMBUWA MTANDAO NINI SABABU
Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia simu yako kutokuwa na mtandao mzuri yaani network kuwa ndogo.
Soma Zaidi...Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
Soma Zaidi...Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Soma Zaidi...Kipi kingine utafanya ukiwa Facebook
Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook
Soma Zaidi...