Fast

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Fast

UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya Tatu

.

JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO  IWE FASTA.
tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa ipo SLOW sasa hebu tuone kwa ufupi mambo ambayo yatafaya simu yako iwe fasta ifanyae kazi kwa haraka zaidi. Yapo mambo mengi yanayofanya simu yako iwe fasta ila kwa uchache nitakutajia mabo matano ambayo ni:-

1.Ondoa application zote ambazo hauzitumii hasahasa zile ambazo zinaonekana kuchukuwa nafasi kubwa katika simu yako. Unaweza kuzitowa kwa kufanya uninstallation eidha kwa kutumia installer au customer unistallation yaan manualy wewe mwenyewe.

2.Jambo la pili  ni kufuta cached data hizi  ni data zilizohifadhiwa katika simu yako kutoka katika tovuti yaan website au kutoka katika application. Data hizi zinasaidia simu yako ifunguwe tovuti ile bila ya kuload tena. Lengo kubwa la data hizi na kuokowa muda wa kuload pindi unapofunguwa kurasa ileile. Jinsi ya kufuta data hizi inategemea na menu ya simu yako ila unakwena SETTING kisha STOTAGE au APPLICATION kisha CLEAR CACHE. Au unaweza kutumia application za playstore kupata application za kufuta cache au bofya hapa kupata application hizo.

3.Ondowa animation na live background au wallpaper.

4.Restart simu yako. Kuiristat simu ni njia mbadala na ya ufasaha zaidi katika kuifanya simu yako iwe fasta. Na hii ni kwa sababu unaporesrart simu yako inaanza upya kufanya kazi kwani itakuwa imejirifreshi. Hivyo kitendo hiki kitaifanya simu yako iwe na spid.

5.Restore simu yako kwa kufanya factory reset. Hii ni hatuwa ya mwisho zaidi kama simu yako inaendelea kuwa ipo slow na njia zingine zieshindwa. Kureset simu kunahitaji umakini kwani unaweza ukapoteza baadhi ya data zako. Jinsi ya kurestore nenda SETTING kisha SECURITY kinsha RESTORE. Kama itasumbuwa pia unaweza kutumia application kutoka playstore kwa ajili ya factory reset, kwa mpano bofya hapa kupata application hizo. Kwa ufupi haya ni machache ambayo yatakufanya kukusaidia kufanya simu yako iwe na speed katika kutuia.



        

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mengineyo Main: Jifunze File: Download PDF Views 2170

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 web hosting    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Dua za Mitume na Manabii    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana:

viumbe

MAAJABU YA VIUMBE 1.

Soma Zaidi...
Njia za kuwasiliana na Bongoclass

wasiliana nasi muda wowote kupitia mitandao yetu

Soma Zaidi...
More

Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini.

Soma Zaidi...
ZOEZI

Zoezi la 1 (a) Ainisha maana ya sunnah kilugha na kisheria.

Soma Zaidi...
Kitabu Cha Contact

Unaweza kuwasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, kwa kutumia jina la Bongclass.

Soma Zaidi...
Ni kwa namna gani nyoka husikia ijapokuwa hana masikio

Ingawa nyoka hawana masikio ya nje kama binadamu na wanyama wengine, bado wana uwezo wa kusikia. Hutumia mifupa ya kichwa na viungo vya ndani kutambua mitetemo kutoka ardhini na mawimbi ya sauti yenye mzunguko mdogo.

Soma Zaidi...