Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinamfanya mama au dada kutobeba mimba. Kwa hiyo tutaziona hapo chini kama ifuatavyo.
1. Kwanza kabisa kwa wakati huu Kuna changamoto kubwa ya akina dada au mama kushindwa kubeba mimba hii ni kwa sababu mbalimbali ambazo tutaweza kuziona hapo mbeleni sababu nyingine ni nje ya uwezo wa akina dada na sababu nyingine ni wenyewe wanaosababisha kwa kushindwa kutibu magonjwa mbalimbali, kutoa mimba mara Kwa mara na matumizi ya mda mrefu ya vidonge na sindano za kuzuia kubeba mimba.
2. Kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na uvimbe kwenye kizazi ambao usababishwa na vitu mbalimbali kwa hiyo hata kama mimba ikitungwa haitaweza kukua kwa sababu ya kuwepo kwa uvimbe mpaka uvimbe utolewe ndipo mama anaweza kubeba mimba.
3. Kuwepo kwa hormones imbalance.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na kiwango kidogo cha aina Moja ya homoni na homoni nyingine inakuwa kubwa hali ambayo usababisha mimba kushindwa kushika kwa Sababu Ili mimba itingwe kiwango chote cha homoni kinapaswa kuwa sawa.
4. Kuwepo kwa uvimbe kwenye mayai.
Kuna wakati mwingine uvimbe kwenye mayai usababisha mayai kushindwa kukua na kuweza kupevuka au pengine mayai yanakosa njia ya kupanda mpaka kwenye follapian tube kwa ajili ya kuchevushwa kwa hiyo ni vigumu sana kubeba mimba.
5. Kukosa Ute wa uzazi.
Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa Ute wa uzazi usababisha mayai kusafiri kutoka kwenye ovaries mpaka kwenye follapian tube, kama hakuna ute wa uzazi ni vigumu sana kubeba mimba.
6. Kizazi kushuka.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo tatizo la kizazi kushuka au kizazi kutokuwa kwenye hali yake hali ambayo usababisha kutokushika kwa mimba.
7. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kupata ushauri wa daktari kama Kuna tatizo lolote lile likijitokeza Ili kuweza kuhakikisha kila mama mwenye hamu ya kupata mtoto anampata.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1665
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Kitabu cha Afya
👉4 Madrasa kiganjani
👉5 Simulizi za Hadithi Audio
👉6 Kitau cha Fiqh
Njia za kuzuia Malaria kwa wajawazito
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuzuia Malaria kwa wajawazito na watoto wao wakiwa bado tumboni, tunajuwa wazi kuwa wajawazito wakipata Malaria inaweza kupelekea mimba kutoka kwa hiyo ili kuzuia tatizo hili zifuatazo ni njia zilizowekwa ili kuz Soma Zaidi...
Zijuwe Dalili za minyoo na dalili kuu 9 za minyoo
Utajifunza dalili za minyoo, sababu za minyoo na namna ya kujiepusha na minyoo. Dalili kuu 5 za minyoo mwilini Soma Zaidi...
Dalili Za hatari ambayo zinaweza kusababisha ugumba
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zilijitokeza zinaweza kusababisha ugumba hasa kwa wanawake, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kwa Dalili hizi hasa kwa wadada, kama kuna uwezekano wa matibabu tibu mapema ili kuepuka tatizo la kuwa mgumba. Soma Zaidi...
Njia za kutibu mbegu dhaifu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia. Soma Zaidi...
Ni vipi nitagundua kuwa nina ujauzito?
Hali ya ujauzito huanza kutabirika Mara tu ya kujamiana, pia chemikali (hormon) za mwili huanza mchakato wa kuongeza na kupunguza utendaji kazi wa kemikali hizo mfano.follical stimulating hormon (FSH) na lutenazing hormon kuivisha yai tayari kwa kutengen Soma Zaidi...
Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue Soma Zaidi...
Magonjwa ya kwenye ovari na Dalili zake.
Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...
Mambo yanayopelekea Mjamzito kutokwa na damu
Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali ambayo yanapelekea Mjamzito kutokwa na damu, hizi ni baadhi ya sababu ambazo usababisha Mjamzito kutokwa na damu. Soma Zaidi...
Fahamu dalili za mapacha walio unganishwa
Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa fetusi mbili zitakua kutoka kwa kiinitete hiki, zitabaki zimeunganishwa mar Soma Zaidi...
Mwezi juzi niliingia tarhe 21 ila mwez uloisha nmeingia tarh 25 maana mzunguko wangu umekuwa mrefu nikahs naujauzito kumbe mzunguko umebadilika hapo tatz n nn
Posti hii utakwenda kutoa sababu kuu za kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi. Kama na wewe numiongini mwaka endelea kusoma Soma Zaidi...
Mwana mke wang mwezi wa 8 alipima mimba kwa kipimo cha mkojo ikaleta postive lina mwez wa 8 huo huo mwishoni akaingia period ndo ikawa mwisho had leo hii hajawahi ingia tena na kila mara tumbo linamuuma na akipima anakuta hana mimba
Inaweza kutokea ukapima mimbaikawa ipo, na baada ya wiki kadhaa unapima tena haipo. Hali hii unadhani inaweza kusababishwa na nini? Soma Zaidi...
Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14 Soma Zaidi...