image

Vyakula vya protini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini

VYAKULA VYA PROTINI

1. Samaki

2. Mayai

3. Maziwa

4. Nyama

5. Kunde

6. Maharagwe

7. Mbaazi

8. Mboga za majani

9. Dagaa

10. Kumbikumbi

11. Senene

12. Nafaka

 

Faiza na kazi za protini mwilini:

 

Protini husaidia katika kkujenga miili yetu. Pia husaidia katika uponaji wa vidonda, utengenezwaji wa homoni na utengenezwaji wa enzymes. Kwa ufupi protini ni kirutubisho kinachochukuwa nafasi kubwa zaidi katika miili yetu





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1702


Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Vyakula gani ambavyo sitakiwi kula kama nina pressure ya kupanda
Post hii itakufundisha kwa ufupi vyakula vya kuviepuka kama una presha ya kupanda. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Korosho
Soma Zaidi...

Ndizi (banana)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

Nyanya (tomato)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula mihogo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo Soma Zaidi...

Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mahindi
Soma Zaidi...

FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula spinach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach Soma Zaidi...

Faida za kula embe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Faida za chumvi mwilini (madini ya chumvi)
Post hii inakwenda kukipa faida za madini ya chumvi mwilini. Soma Zaidi...

Faida za kula Karoti
Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii Soma Zaidi...