Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo.
Madhara ya kutoka kwa mimba.
1. Kutokwa sana na damu .
Kwa kawaida mimba ikitoka mama utokwa sana na damu hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwa akina mama ambayo ni pamoja na upungufu wa damu mwilini,kuzimia na wakati mwingine kuwa na matatizo katika sehemu mbalimbali za mwili au kwa wakati mwingine kama mimba zinatoka mara kwa mara usababisha ugumba kwa akina mama.
2. Wakati mwingine kutoka kwa mimba mara kwa mara usababisha mimba zingine kutungwa nje ya kizazi kwa sababu ya kuharibikiwa kwa mfuko wa kizazi.
3. Pengine kuwepo kwa msongo wa mawazo kwa sababu kuna familia nyingine mama kama ameolewa na mimba zinatoka usababisha kutengwa na ndugu hasa wanaume zao kuwatenga hali inayosababisha kuwepo kwa msongo wa mawazo.
4. Kutoka kwa mimba mara kwa mara usababisha kuwepo kwa magonjwa ya kuambukiza utokea pale mama anapopewa damu labda pengine kuna virusi vya Ukimwi na homa ya ini.
5. Kusababisha kuharibika kwa mfuko wa uzazi.
Kwa sababu wakati mwingine vyuma utumika ili kuweza kutoa uchafu uliopo hali ambayo usababisha kuharibika kwa mfuko wa uzazi.
6. Kubadika kwa siku za kawaida za mwezi.
Kwa sababu ya kutoa mimba mara kwa mara hali hiyo pia usababisha kuharibika kwa mfumo wa mzunguko wa mwezi.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1507
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Simulizi za Hadithi Audio
👉4 Kitabu cha Afya
👉5 kitabu cha Simulizi
👉6 Kitau cha Fiqh
Damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito Soma Zaidi...
Hivi kipimo cha mimba cha mkojo baada ya kutumika Mara 1 ,hakiruhusiw tena kutumika au
Je ni kweli kupima kimoja cha mloka kinaweza kupima mimba zaidi ya mara moka? Soma Zaidi...
Siku za kupata mimba
Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta Soma Zaidi...
Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi. Soma Zaidi...
Madhara ya fangasi ukeni
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za Siri za mwanamke husababishwa na fangasi wanaoitwa CANDIDA ALBICANS pia maambukizi haya hujulikana kama YEAST INFECTION. Pia hupatikana katika midomo, mpira wa kupitisha chakula,kibofu Cha mkojo ,uume na uke. Soma Zaidi...
SIKU HATARI ZA KUPATA UJAUZITO KWA MWENYE MZUNGURUKO WA SIKU KIDONGO AU NYUNGI
SIKU YA KUPATA UJAUZITO Kawaida wanawake walio wengi mzunguruko wa siku zao ni siku 28 lakini wapo ambao ni zaidi ya hapo na wapo ambao ni chini ya hapo. Soma Zaidi...
Faida na hasara za Kufunga kizazi kwa wanawake.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kufunga kizazi kwa wanawake. Soma Zaidi...
Njia za kutibu mbegu dhaifu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia. Soma Zaidi...
Kuwashwa pumbu ni dalili ya fangasi?
Habari. Soma Zaidi...
KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA MAPEMA: kumwaga mbegu mapema
Hii ni hali inayowapata sana wanaume huwa wanamaliza hamu ya tendo la ndoa mapema kabla ya mwenza kuridhika. Soma Zaidi...
Siku za hatari, siku za kubeba mimba
Hizi ni siku hatari kwa mwanamke ambazo ni ahisi kwake kubeba mimba, siku nitakueleza ni zipi na ni zipi sifa zake Soma Zaidi...
Je mwanamke anaweza kujijuwa ni mjamzito baada ya muda gani.
Mdau anauliza ni muda gani mwanamke anaweza kujijuwa kuwa amepata ujauzito. Soma Zaidi...