image

Dalili za ugonjwa wa macho.

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.

Dalili za ugonjwa wa macho.

1. Dalili ya kwanza ni pale mdudu anapotua kwenye jicho na jicho hilo kwa kawaida uanza kuwa jekundu,kuwashwa, kuwa maji maji yanayotoka kwenye jicho yanaweza kuwa yote mawili au Moja na pengine kadri siku zinavyoenda jicho linaweza kuwa na mayongo to go kila mara , kwa hiyo kama ni mtoto mdogo wazazi wanapaswa kuwa macho Ili kuweza kumsaidi kwa kumpatia matibabu mapema.

 

2. Dalili ya pili ni pale maambukizi yanavyozidi ndivyo yanaendelea kuwa na uvimbe kwenye jicho ambao kwa kitaalamu huitwa oedema, uvimbe huh unaweza kuwa juu ya jicho na pengine unatoa usaha au maji maji kwa hiyo ikitokea uvimbe huu ukapsuliwa na maji maji yakagusa kwenye jicho la mtu ambaye Hana maambukizi ndio mwanzo wa maambukizi kuanza 

 

3. Katika hatua hii ya tatu maambukizi uzidi na kusababisha uvimbe ulipokuwa kwenye jicho kutengeneza kofu kwenye jicho na kukaribia kufunika jicho Ilo kovu kwa upande mwingine linaweza kuwa na maumivu au kutokuwepo kwa maumivu kwa hiyo kwenye hatua hii ugonjwa unaweza kutibika ni vizuri kabisa kutibu maana ukizidi hapa ni hatari.

 

4. Hatua hii ya nne ni pale maambukizi yakizidi zaidi ambapo kovu lililotengenezwa kuwa kubwa na kuongezeka kwenye jicho na kukaribia kufunika jicho na sehemu mbalimbali za jicho ubadilika kwa hatua hii mtu uanza kuona kwa shida, hatua hii upasuaji ni wa lazima kwa sababu kupona ni vigumu.

 

5. Hatua ya tano na ya mwisho ni pale ambapo mtu anashindwa kuona kabisa yaani makovu yanafunika jicho na pia kabla ya hapo mtu uanza kuona maluwe luwe hatimaye jicho Linaziba kabisa ndo upofu unatokea, kwa hiyo tunapaswa kuelewa kuwa ugonjwa huu unatibika sana na dawa zipo kwa wingi hospitalini kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu hospital Ili waweze kupata huduma inayofaa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2211


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zifazofanana:-

Sababu kuu za maumivu ya tumbo chini ya kitomvu, Tumbo la ngiri na chango
Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu, na tumbo la ngiri kwa wanaume, na tumbo la chango kwa wanawake Soma Zaidi...

VIDONDA VYA TUMBO SUGU
VIDONDA VYA TUMBO SUGU Matibabu ya vidonda vya tumbo mara nyingi hufanikiwa, na kusababisha uponyaji wa vidonda. Soma Zaidi...

Yajue mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi (cellulitis)
Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge. Soma Zaidi...

dalili za ukimwi huchukua muda gani?
Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya maradhi haya ya ukimwi, dalili zake, tiba na kinga zake na mengineyo zaidi. Soma Zaidi...

Nini kinasababisha kizunguzungu?
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za kizunguzungu zinazotekea katika mwili wa binadamu Soma Zaidi...

Dalilili za tetekwanga
posti hii inazungumziaTetekuwanga . Tetekwanga(varisela) ni maambukizi ya virusi ambayo husababisha kuwasha, kama vile upele. Tetekuwanga huambukiza sana watu ambao hawajapata ugonjwa huo wala kupewa chanjo dhidi yake. Kabla ya chanjo ya mara kwa mara Soma Zaidi...

Tufanyeje ili kuepuka kuaribika kwa figo?
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia kuaribika kwa figo, hizi ni njia zinazotumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuaribika kwa figo na hasa wale ambao hawajapata tatizo hili wazitumie ili tuone kama tutaweza kupunguza tatizo hili. Soma Zaidi...

Je pumu inaweza kusababishwa na virusi ama bakteria?
Hapa utakwenda kujifunza jinsi ambavyo pumu inaweza kuwa na mahusiano kwa kuwepo kwa aina flani ya bakteria ama virusi. Soma Zaidi...

DALILI ZA HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD) NA INAVYOSAMBAZWA.
Homa hii inapatikana katika maeneo ya bonde la ufa barani Afrika na na Mashariki ya kati. Soma Zaidi...

Dalili za homa ya ini
Kaika post hii utakwenda kujifunz akuhusu dalili za homa ya ini. Dalili hizi sio lazima zitokee zote. Zinaweza zikatokea baadhi tu na ikatosha kuonjesha kuw auna homa ya ini. Soma Zaidi...

Makundi ya watu walio katika hatari ya kupata Ugonjwa wa Ukimwi
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,ni kutokana na kazi zao pamoja na mazingira yao kwa hiyo wako kwenye hatari ya kupata Ugonjwa wa ukimwi. Soma Zaidi...

Namna ya Kuzuia Mtoto mwenye kifua kikuu (TB).
posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano. Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kliniki yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Soma Zaidi...