Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya makende kushindwa t, hiki ni tatizo na huleta madhara
Madhara ya kutotibu magonjwa ya makende kushindwa kushuka kutoka tumboni kwenda kwenye skolatumu.
1. Kansa kwenye testi, hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye testi
2. Utasa unaweza kujitokeza kwa sababu ya maambukizi kwenye testi
3. Maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanaume ambavyo usababisha mbegu kushindwa kuzalisha.
4. Kuvuja damu, hii utokana na kuaribika kwa baadhi ya sehemu za uzazi za mwanaume
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Seli ni chembechembe hai ambazo zimo ndani ya mwili wa binadamu na hufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, binadamu hawezi kuishi bila seli.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo dalili zake na namna ya kumsaidia mgonjwa mwenye tatizo hilo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dawa za kutibu kiungulia
Soma Zaidi...Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri.
Soma Zaidi...Manung'uniko ya moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ambayo unapaswa kufanya kama una tatizo la kiungulia.
Soma Zaidi...