image

YAJUWE MAAJABU YA MBUZI PORI

1.

YAJUWE MAAJABU YA MBUZI PORI

1. Bezoa goat (mbuzi pori)

beroar
Huyu ni mnyama aliyefanana sana na mbuzi isipokuwa huyu ana mapembe makubwa. Mnyama huyu ni katika wanyama wenye maajabu katika dunia hii. Wataalamu wa sayansi na viumbe hasa wale waliobobea kwenye maisha ya wanyama mwitu, wannashangazwa sana na fahamu alizonazo mnyama huyu.

Wataalamu wanaeleza kuwa mnyama huyu amepewa anaitwa Bezoar goat kwa lugha ya kiingereza na jina hili asili yake ni kutoka katika lugha za kifurs kwa maana ya medicine yaani dawa. Na hii ni kutokana na uwezo wake wa kujitibu pindi anapong’atwa na nyoka.

Mnyama huyu anaishi eneo ambalo mimea aina ya Euphorbia inapatikana. Mnyama huyu pindi anapong’atwa na nyoka haraka sana anawahi kula majani ya mimea hii na hatimaye sumu ya nyoka inakosa nguvu na mnyama huyu haendeleu kudhurika.

beroar Kwa ufupi mnyama huyu ni katika wanyama wachache ambao wanaweza kujitibu dhidi ya sumu ya nyoka. Mwenyezi Mungu aliyetukuka ndie aliyempa elimu hii ya kujuwa tiba hii, kwani wapo wanyama wengi msituni waking’atwa na nyoka hawawezi kujitibu.

Mwenyezi Mungu mtukufu anatupa sisi masingatio kupitia maisha ya viumbe. Tukumbuke kuwa Mwenyezi Mungu ndiye ana uwezo wa kila kitu. Anampa elimu amtakaye katika viumbe vyake na anamnyima amtakaye. Atakayepewa amshukuru Allah na atakaye nyimwa pia amshukuru.


                   





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 256


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Bongoclass
Bongoclass ni darasa la kushiriika akili na maarifa kutoka kwa watu mbalimbali katika kutumia fursa zilizopo ili kuzalisha kipato na kuleta maendeleo katika jami Soma Zaidi...

Subscribe
Ingiza taarifa zako hapo chini uweze kupata Update zetu. Soma Zaidi...

mchango
Soma Zaidi...

MAKTABA YA VIBABU KUTOKA BONGOCLASS
Soma Zaidi...

Welcome to Online School
Soma Zaidi...

MAKTABA YA VITABU
Soma Zaidi...

maswali na majibu kuusu Afya, teknolojia na dini
Soma Zaidi...

bongoclass health
1. Soma Zaidi...

Fast
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta.. Soma Zaidi...

What is Bongoclass
What is Bongoclass and what does it do to the individuals and whole community. Soma Zaidi...

Samaki aina ya salmon
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sifa za samaki aina ya salmon Soma Zaidi...

WIKIBONGO NI NINI?.
Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo". Soma Zaidi...