nataka niunganishe namba yangu kwa mtu mwingne ili kama kuna sms nimetumiwa ianzie kwa huyo mtu

Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje?

nataka niunganishe namba yangu kwa mtu mwingne ili kama kuna sms nimetumiwa ianzie kwa huyo mtu

Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje?



Namba ya swali 021

Unayo computer?



Namba ya swali 021

Hapana nina sim ya kawaida (sio smart)



Namba ya swali 021

Ok kwa ufupi ni kuwa hiyo huduma nibya gharama, pia ni siri ambayo inaweza hata kukufungisha. Na wengi wanaodai kutoa huduma hiyo ni matapeli. Na wala usipite taabu sana kutafuta hii huduma. Kwani walionayo ni wachache na wanayoa kwa siri. Ila kama ungelikuwa unayo pc ningekupa kaujanja flani



Namba ya swali 021

Ahaa, tatzo cna pc, nina simu ya kawaida ya battan



Namba ya swali 021

Na kwa kutumia call divert na call fowading je?



Namba ya swali 021

Hizi haziwezi ku divate sms



Namba ya swali 021

Naweza kufanyaje?



Namba ya swali 021

Ungelikuwa na PC kina App inaitwa might text ukiiweka kwenye slimu na kwwbye pc. Basi hiyo simu ikiwa online sms zinawenda kwenye pc.... Togautibna hapo, sina msaasa zaidi. Lamsa endelea kuwatafuta wanaotoa huduma hii, ikankuwa makini wwnhinni matapeli, na ni hatari pia



Namba ya swali 021

Kumbe hapo ntakuw nimeshindw, jap imefka nusu



Namba ya swali 021

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mengineyo Main: Jifunze File: Download PDF Views 2195

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Ni kwa namna gani nyoka husikia ijapokuwa hana masikio

Ingawa nyoka hawana masikio ya nje kama binadamu na wanyama wengine, bado wana uwezo wa kusikia. Hutumia mifupa ya kichwa na viungo vya ndani kutambua mitetemo kutoka ardhini na mawimbi ya sauti yenye mzunguko mdogo.

Soma Zaidi...
Cheetah

Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama cheetah

Soma Zaidi...
What is Bongoclass

What is Bongoclass and what does it do to the individuals and whole community.

Soma Zaidi...
Ndege kwenye ulimbo

Wahenga wanaelewa, enzi hizo unaambiwa ndege akinasa basi unakumbuka macho juu asije akayoke. Hukuchinib. hujali kama kuna mjimba ama nini

Soma Zaidi...
Buibui hupuruka ijapokuwa hana mbawa.

Nataka nikufundishe moja katika maajabu ya mdudu Buibui kwa lugha ya kimombo spider.

Soma Zaidi...