je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.lakin wew ukawa hauna maambukizi unaweza ukaambukinza hao fangasi???



Namba ya swali 060

Aina ipi uliyokusudia



Namba ya swali 060

Ya fangasi wa mdomn ambao huwapata hasa wale weny MAAMBUKIZI YA HIV



Namba ya swali 060

Yes unaweza kupata hawa fangasi. Ila hili halimaanishi utaumwa kama yule aliyekupa. Ni kwa sababu ili fangasi wasababishe madhara lazima wakutane na mazingira wanayoyataka kule wanakokwenda



Namba ya swali 060

Ooh sawa...asante kwakunifahamisha..na pia kama mtu akapatwa natatizo la kolodani moja kuvimba nakujiskia maumivu niugonjwa gani na pia husababishwa nan



Namba ya swali 060

Ok Kwa maimivu hayo sio shida sana kiafya kama sio makali sana kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zako, na yataondoka hivi punde. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu
1. UTI 2.
Shughuli
3. Kama mishipa i.ejibana hasa wakati wa kulala, ama kufanya shighuli
4. Huyokea pia kama kuna bakteria



Namba ya swali 060

Nilipoend hospital nimepew dawa ya piroxicam zakunya nasindano 5 asa nikawa cjui tatiz limetokana nann na linaitwaje ndoman nikajalibu kufatilia gugo nandpo nilipo pata mawasilian nawwe



Namba ya swali 060
-->

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1286

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 kitabu cha Simulizi    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Sababu za vidonda sugu vya tumbo
Sababu za vidonda sugu vya tumbo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za vidonda vya tumbo sugu

Soma Zaidi...
Dalilili za tetekwanga
Dalilili za tetekwanga

posti hii inazungumziaTetekuwanga . Tetekwanga(varisela) ni maambukizi ya virusi ambayo husababisha kuwasha, kama vile upele. Tetekuwanga huambukiza sana watu ambao hawajapata ugonjwa huo wala kupewa chanjo dhidi yake. Kabla ya chanjo ya mara kwa mara

Soma Zaidi...
Kichwa kinaniuma mbele sielewi nini
Kichwa kinaniuma mbele sielewi nini

Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa dondakoo
Ugonjwa wa dondakoo

Dondakoo ni ugonjwa mbaya unaosababishwa na sumu inayotengenezwa na bakteria. Husababisha mipako nene nyuma ya pua au koo ambayo inafanya kuwa ngumu kupumua au kumeza. Inaweza kuwa mauti.

Soma Zaidi...
Aina za fangasi
Aina za fangasi

Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya aina za fangasi

Soma Zaidi...
Dalili kuu za minyoo
Dalili kuu za minyoo

Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo yenye majimaji kama kwenye maji, ndani ya viumembe hai kama mtu, ngombe, ngure na paka. Minyoo pia wanaweza kuishi kwen

Soma Zaidi...
Namna ya kuishi na vidonda vya tumbo
Namna ya kuishi na vidonda vya tumbo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuishi na vidonda vya tumbo

Soma Zaidi...
Mlo kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa damu
Mlo kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa damu

Posti hii inahusu zaidi mlo kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa damu, ni wagonjwa ambao figo zao zimeharibika na zimeshindwa kufanya kazi au pengine kuna uchafu mwingi mwilini ambao uchujwa kwa hiyo kuna vyakula muhimu ambavyo wagonjwa wa figo wanapaswa kutu

Soma Zaidi...
 Dalili za upotevu wa kusikia
Dalili za upotevu wa kusikia

posti hii inazungumzia kuhusiana na Upotevu wa kusikia unaotokea hatua kwa hatua kadri umri unavyozeeka (presbycusis) ni jambo la kawaida. T Kwa wale walio na umri wa zaidi ya miaka 75, idadi ya watu walio na  upotezaji wa kusikia inakaribia 1 kati y

Soma Zaidi...
Fahamu Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa
Fahamu Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa

posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa ambao kitaalamu hujulikana Kama

Soma Zaidi...