Posti hii inahusu zaidi mlo kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa damu, ni wagonjwa ambao figo zao zimeharibika na zimeshindwa kufanya kazi au pengine kuna uchafu mwingi mwilini ambao uchujwa kwa hiyo kuna vyakula muhimu ambavyo wagonjwa wa figo wanapaswa kutu
Chakula muhimu kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa figo.
1. Kwanza kabisa tunaanza na chai ya asubuhi.
Mgonjwa anapaswa kula sehemu ya yai nyeupe, angalau mawili, yai moja liwe na kiini. Pia kwa wakati huo wa asubuhi mgonjwa anapaswa kula mkate wowote wa slesi 2_3 na pia uji wa nafaka yoyote kwa mfano ulezi, mtama, mahindi na maharage. Pia mgonjwa anapaswa kutumia tunda, mhogo wa kuchemsha na chapati maji pia mgonjwa atumie chai ya maziwa, chai ya rangi,supu kwa upande wa supu anapaswa kutumia kikombe kidogo pamoja na vyakula hivi mgonjwa hapaswi kula mara kwa mara nyama ya dafu.
2. Pia mda wa saa nne au saa tano asubuhi.
Maziwa ya mtindo na tunda, mkate wowote, sles moja au mhogo wa wa kuchemsha, chapati maji, chai ya maziwa, chai ya rangi, supu lazima kiwe kikombe kimoja kidogo, pia mgonjwa hasira viazi mviringo, viazi vitamu, mihogo, machimbo, viazi vikuu na maboga kwa hiyo wahudumu wanapaswa kuwa makini katika kufuata mlo kamili.
3. Kwa upande wa chakula cha mchana na jioni.
Mgonjwa anapaswa kula wali, chapati bila chumvi, ugali,na au nafaka yoyote, kuku kipa kiasi, dagaa, maharage au kunde mbichi nusu kikombe au njegere na Namna ya kupika maharage, kunde, choroko, dengu, njugu mawe, mbaazi kavu . Pia mgonjwa anapaswa kuepuka nyama ya ng'ombe kuila mara kwa mara angalau mara mbili kwa wiki.
4. Pia mgonjwa anapaswa kula mboga mboga za majani kama vile karoti zilizopikwa, matembele, majani ya kunde, majani ya maboga,chinisi kabeji, kabeji iliyopikwa, tango, saladi, vitunguu vibichi figili mbichi, mnavu mahindi, sukuma wiki koliflower iliyopikwa , bilinganya iliyopikwa maharage Mahanga yaliyopimwa, nyanya chungu pia mgonjwa anapaswa kuepuka kula mara kwa mara mchicha, bamia, maboga, Spinachi,juisi na supu na mbegu kama ya maboga alizeti,ufuta zitumike kiasi kidogo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa kuhusiana na dalili za ngozi kuwashwa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo.
Soma Zaidi...Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na saratani
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yatokanayo na fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo.
Soma Zaidi...