posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa ambao kitaalamu hujulikana Kama
Sababu zinazopelekea Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa.
1. Bakteria ; bacteria wanaweza kusababisha Ugonjwa huu
2. Maambukizi kama vile, njia ya juu ya upumuaji, meno yaliyotoka, vidonda vilivyoambukizwa na kuungua. moto
3. Uingizaji wa moja kwa moja wa mfupa kutoka kwa jeraha la kuungua, kuvunjika iliyoambatatana na kidonda kilicho wazi, uchafuzi wa upasuaji, au maambukizi ya karibu ya tishu.
Sababu za hatari Ni pamoja na:
1. Uwepo wa city vya kigeni kwenye mfupa Kama vile kijiti,msumari n.k
2. Maumivu kwenye mfupa kutokana na Maambukizi yanayoshambulia
3. Ukandamizaji wa Kinga :Kinga ya mwili ikiwa pungufu au kushuka chini husababisha Mtoto kupata Maambukizi kwenye mfupa.
4. Utapiamlo; mkosefu wa chakula pia hupelekea kupata Ugonjwa huu.
5. Aina fulani na maeneo ya mguu wa mfupa: ambazo Ni sehemu maalumu kwaajili ya kupata Maambukizi haya Kama vile(femur, pelvic,tibia na miguu)
Ishara na Dalili za Mtoto mwenye Maambukizi kwenye mifupa ni pamoja na;
1. Maumivu makali wakati wa kutembea na ikizidi hupelekea kushindwa kutembea kabisa.
2. Homa
3.kukaa sehemu moja kutokana na kushindwa kutembea.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Ini ni moja ya ogani za mwili ambazo husumbuliwa na maradhi hatari sana. Katika post hii utakwend akuyajuwa maradh hatari ambayo hushambulia ini. Pia utajifunza jinsi a kujikinga na maradhi hayo.
Soma Zaidi...Je vidonda Mara nyingi vitakuwa maeneo gan ya mwili? Hili ni swali lililoulizwa kuhusu vidonda vya tumbo, kuwa vinakaa wapi katika mwili.
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B, huwapata watu wote hasa wale wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume
Soma Zaidi...Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.
Soma Zaidi...Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika.
Soma Zaidi...Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika?
Soma Zaidi...Ascariasis ni aina ya maambukizi ya minyoo mviringo. Minyoo hii ni vimelea wanaotumia mwili wako kama mwenyeji kukomaa kutoka kwa mabuu au mayai hadi minyoo wakubwa. Minyoo ya watu wazima, ambayo huzaa, inaweza kuwa zaidi ya futi (sentimita 30) kwa
Soma Zaidi...